Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano wiki iliyopita na kubaki kwa wiki nyingine ya tatu kwenye shindano la Big Brother Afrika ‘Hotshots’, mshiriki kutoka Tanzania Laveda ameongoza tena kupigiwa kura na washiriki wenzake za kupendekezwa kutoka wiki hii.Hivi ndivyo kura zilivyopigwa:
Nhlanhla
Permithias
JJ
Alusa
M’am Bea
Ellah
Kacey
Idris
Endelea kumpigia kura Laveda ili anendelee kubaki mjengoni kwa kuandika neno VOTE likifatiwa na jina LaVeda unatuma kwenda number 15426 utakatwa sh 600 tu
No comments:
Post a Comment