Mkali wa Ngoma ya “Mdogo Mdogo” Diamond Platnumz ametajwa kwenye Orodha ya wasanii Kumi Afrika waliofanya Mabadiliko (Top10 Most Game Changers).
Orodha hiyo imetolewa week hii kwenye Kipindi cha Top10 Most
kinachoendeshwa na Joketi Mwengelo na Ice Prince kutoka Nigeria, Diamond
Platnumz ameshikilia namba 10 pamoja na Fally Ipupa. Hii ndio List
nzima
1. 2face Idiba2.Boom Shaka
3.D banj & Don Jazzy
4.K’naan –
5.Banky W & Psquare
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage & Wizkid ayo
8.Ice Prince – Nigeria & Naetoc
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa

No comments:
Post a Comment