Amekamatwa na Kete Kumi na nne za madawa ya kulevya , pia na Bangi Misokoto miwili ambazo zilikuwa katika mfuko wake wa Shati
Chid alikuwa ameongozana na Mwanamuziki Sheta ambae yeye aliruhusiwa kuendelea na safari
Baada ya kuhojiwa inasemekana Chid Alijitetea kwa kusema ni kwa ajili ya matumizi yake Binafsi, Chid kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi…

No comments:
Post a Comment