Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua ndege mpya mbili aina ya Bomberdia Dash-8 Q400.
Katika uzinduzi huo Rais John Magufuli ameahidi kununua ndege zingine mbili kubwa ambayo moja itakuwa inabeba abiria 160 na engine itabeba abiria 240, ndege itakayobeba abiria 240 itakuwa inatoka Tanzania (Dar) moja kwa moja hadi Marekani.
#Hongera rais wetu Dkt. John Magufuli kwa hatua hii.

No comments:
Post a Comment