Saturday, March 5, 2016

Uzinduzi wa Video ya 'Sizonje' yawapa somo Watanzania

Mwanamuziki wa nyimbo za Asili,  Mrisho Mpoto aka Mjomba amezindua video yake mpya ya 'Sizonje' katika jengo la Golden Jubilee floor ya nne (Posta).



Hakikaa watu walijaa na kufurahia semina kutoka kwa Waziri wa habari, Sanaa, utamaduni na Michezo Mh. Nape Nnauye, Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, George Kavishe (TBL), Milla Ayo nk.... tazama picha hapa...




Waliohudhuria wakiangalia video ya Sizo.

Mh. Nape akimpa zawadi mwanafunzi Cangcang Wang


Millard Ayo akifunguka yake

Walihudhuria walipata kunywa madafu


Mh. Nape akimkabidhi zawadi kwa Mwanfunzi aliyeongoza kwa matokeo kidato cha nne 2015.


No comments:

Post a Comment