Sunday, March 13, 2016

Boss mpya mjini 'Mh. Paul Makonda'

Safari ya Mh. Paul Makonda kuitumikia jamii ilianza kuwa rais wa vyuo Tanzania akiwa anasoma chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS) then baadae rais wa awamu ya nne Mh. Jakaya Kikwete alimteuwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni 2015, taarifa mpya kuwa rais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli amewateuwa wakuu wa Mikoa wapya akiwemo Mh. Paul Makonda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam.


Mh. Paul Makonda ana kila sababu ya kuwa Mkuu wa Mkoa kwanza ni kijana pili alionesha nia ya dhati katika Wilaya ya Kinondoni tatu malengo yake yalikuwa ni kuifanya Kinondoni kama Wilaya inayojiendesha na watu wake..... hongera sana Paul Makonda.

No comments:

Post a Comment