Sunday, February 14, 2016

(PICHA'Z) Mkesha wa Bebi Namba One ulivyovuta hisia ya watu wengi #escape One

Jana ilikuwa siku nzuri kwa Wapenzi walipokutana katika fukwe za #Escape One na kukesha kwenye Valentine Day iliyofahamika kama #BebiNambaOne liyoandaliwa na Clouds Media Group, tazama picha mastaa, viongozi wa serikali na watu walivyoiitikia na kusherekea kwa pamoja.


















No comments:

Post a Comment