Mwanamasumbwi muingereza "Frank Bruno" ame confirm kurudi
tena ulingoni kuendelea na masumbwi, bondia huyo aliyevuma sana miaka ya
1990 kwa uwezo wake sasa amethibitisha kurejea tena ulingoni ingawa
watoto wake (Rachel na Nicola) wamemkataza baba yao asirudi kwenye ring.
Bruno alistaafu ubondia mwaka 1996 baada ya kupigwa na Mike Tyson akiwa
na umri wa miaka 34 katika pambano lilofahamika kama 'Heavyweight', pia
baada pambano hilo alianza kusumbuliwa na matatizo ya kiafya
Sasa anataka kurejea tena kwenye ulingo akiwa na umri wa miaka 54. Je ataweza kuendana na mabondia wa sasa..?
Sasa anataka kurejea tena kwenye ulingo akiwa na umri wa miaka 54. Je ataweza kuendana na mabondia wa sasa..?

No comments:
Post a Comment