Zari The Boss Lady amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia
mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa
kuliko mpenzi wake Diamond Platnumz.
"Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,umri wangu ni
mkubwa,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona
mrembo sana."Alisema Zari.

No comments:
Post a Comment