Thursday, January 21, 2016

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa rais mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Soma barua kutoka Ikulu ikielezea uteuzi huo.


No comments:

Post a Comment