Saturday, January 30, 2016

(Pichaz) Rita Ora atokea nudes kwenye jarida

Mwanamuziki na muigizaji wa filamu Rita Ora (25) ameshea picha ambazo amepigwa kwa ajili ya jarida la Lui (Lui Magazine).

Katika jarida hilo Rita ameonekana akiwa nudes katika baadhi ya viungo vyake vya mwili na kufanya kubreak the internet baada ya baadhi ya picha zake kusambaa kwenye social media.

Zitazame hapa....


No comments:

Post a Comment