Mwanamuziki Celine Dion
siku ya leo ameungana na mashabiki wake katika kanisa la kwa ajili ya kuuga mwili wa aliyekuwa mume wake (René Angélil's) aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa akiwa na umri wa miaka 73.
Mwili wa mume wa Celina unatarajia kuzikwa siku ya leo baada ya kumalizaka kwa heshima za mwisho zilizofanyika katika kanisa la 'Notre-Dame Basilica' na kuhudhuriwa na watu wengi sana.

Celine Dion akitoa heshima zake za mwisho katika mwili wa mume wake.


Celin Dion akiwa na majonzi makubwa sana





















Also there: TV personality Julie Snyder (R) and Thomas Peladeau-Snyder (L) arrived side by side




No comments:
Post a Comment