Saturday, January 30, 2016

(Official Music Video) Navykenzo- Kamatia

Kundi la muziki wa Bongo Fleva Navy Kenzo linaloundwa na Aika na Nahreel wamezindua video yampya ya ‘Kamatia’ baada ya 'Game' kufanya vizuri sana kwenye radio na TV Stations.


Tazama hapa....


No comments:

Post a Comment