Wednesday, January 27, 2016

Mwanamuziki 'Shetta' kudondosha jiwe jipya

Hit maker wa ngoma 'Shikorobo' Shetta ameandika na kuweka picha ya producer aliyetengeneza wimbo huo 'Jobanjo' na kusema.


"Mr and Mrs Jobanjo....!!👌👌 My best producer In Africa.. Can't wait kuiachia mashine nyingine mana ni mda kidogo tangu #Shikorobo imekalisha watoto Town Na labda nikwambie usiombe usikie Alichofanya Jobanjo humo ndani...Kabla ujasikia Nilichokifanya Mimi... !! #Loading 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @jobanjo_njo_studio #Salute" 


No comments:

Post a Comment