Thursday, January 21, 2016

Mpoto ametajwa kushiriki kwenye tuzo za KORA Afrika.


Mwimbaji wa nyimbo za Asili, Mrisho Mpoto aka Mjomba ametajwa kwenye ‘category’ (best traditional male artist) tuzo za "Kora Africa"zinazofanyika nchini Afrika Kusini.



Jinsi ya kupiga andika: kora 67,tuma kwenda: +248984000.
Ingawa kwa sasa amwachia wimbo wake mpya 'Sizonje' feat. Banana Zoroh

No comments:

Post a Comment