Dada wa Kim Kardashian 'Khole Kardashian' amekuwa akitumia muda mwingi akiwa na Ex- girlfriend wa Tyga 'Blac Chyna' familiya ya Kardashian imekuja juu sana, kumbe imefahamika Rob Kardashian na Blac Chyna wana shea shuka moja.
Kwa sasa inasemekana Blac Chyna ana date na Rob Kardashian, na amefanya hivyo kutokana na Tyga kumchukua moja ya familiya ya Kardashian (Kylie Jenner), mahusiano yao yalianza tangu mwishoni mwa mwaka jana.
Rob
Tyga na Kylie Jenner Kardashian


No comments:
Post a Comment