Tuesday, January 26, 2016

Happy Birthday Millard Ayo

Leo ni siku muhimu sana kwa Mtangazaji mwenye vocal lenye ushawishi kiwa msikilizaji kumsikiliza kila anapotangaza kwenye kipindi chake cha 'Amplifaya' #Cloudsfm.


Mbali na utangazaji amekuwa mtu muhimu kwa kutoa ajira kwa vijana kupitia website yake "millardayo.com" Happy Birthday Millard Ayo Mungu akupe nguvu za kusonga mbele.....

No comments:

Post a Comment