Monday, January 18, 2016

Hali imekuwa shwari eneo la Mkwajuni, jiji Dar es salaam

Baada ya kutokea kutokea kwa sito fahamu ya zoezi la Bomoa bomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam, lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara.

 

Picha zilizojili wakati wa tukio.


NJIA

NJIA2

NJIA3

NJIA4

No comments:

Post a Comment