Friday, January 22, 2016

Cristiano Ronaldo kwenye Jarida la 'GQ Magazine'

Baada ya kushindwa kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa tuzo ya ballon d'or, mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno pia ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo aka CR7, alifanya photo shoot na jarida la 'GQ Magazine' mwezi huu, akiwa na mwanamitindo 'Alessandra Ambrosio'.


Pamoja na kufanya photo shoot hiyo Ronaldo alionesha umahiri wake wa kuchezea mpira akiwa na boxer.



Tazama video yake hapa.....

No comments:

Post a Comment