Mahakama ya Los Angeles kupitia kwa jaji James
Brandlin alimuachia huru mwanamuziki huyo kwa ajili ya kutekeleza yale
aliyopewa na mahakama kama kujumuika katika majukumu ya kijamii na
kutoondoka bila kutoa taarifa, kwa mujibu wa mtandao wa Mailonline
umeripoti kuwa mwanamuziki huyo halishindwa kutimiza majukumu
aliyoangizwa na mahakama kwa wakati, kwasasa Cris yupo huru hadi mwezi
wa nne tarehe 20 na hakimu anategemea majibu kutoka kwa wasimamizi wake
wanaomfatilia.

No comments:
Post a Comment