Baada ya kutoa wimbo wake wa 'Anaconda' majuma mawili yaliyopita, rapper wa kike Nicki Minaj, inasemekana ameuza kopi milioni mbil na kufikia mauzo ya platinum (double platinum).
kupitia mtandao huu ndio wametoa taarifa hiyo, RIAA(Recording Industry Association of America)

No comments:
Post a Comment