Monday, November 3, 2014

TID: DIAMOND PLATNUMZ LETA TUZO NYUMBANI ACHANA NA MAF*LA!

Akipost kwenye Instagram picha ya Diamond ya kuhimiza apigiwa kura za AFRIMA, TID ameandika: Leta mzigo home achana na mafala, u got my Back.


Swali la kujiuliza mafa*la ni akina nani?

No comments:

Post a Comment