Imegundulika kuwa uhusiano wa staa wa
Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure
kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana
imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao
Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na
kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie
kwanza Nuh:
Msikie Shilole: Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema atabadili hata hivyo familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa ajili ya kufunga ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi tu maana hata ndoa ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima tuoane.”
SOURCE: Bongo Clan
No comments:
Post a Comment