Mwimbaji wa muziki wa Bongo flava Khadija aka Kadja ambaye anatamba na ngoma zake 'Maumivu' na 'Nzogo', baada ya kumpata mtoto mmoja anayefahamika kwa jina la 'Nito', kwasasa anatamani kuolewa, Kadja aliongea hayo baada ya kuulizwa na Zamaradi Mketema katika kipindi cha 'Leo Tena' Clouds FM.
No comments:
Post a Comment