Mtalaka wa mwanamitindo Kim Kardashian, Kris Humphries pia ni mchezaji wa basket ball Marekani amabye walimwagana na Kim, amefunguka baada ya kuulizwa swali na kituo cha radio 106.7's The fan cha nchini Marekani kuwa unajsikiaje Kim alivyotokea mtupu kwenye jarida, 'I'm not someone who's paying attention to things that don't really matter in my world,'
No comments:
Post a Comment