Sunday, October 26, 2014

(PHOTO'Z) ZA 'SIKU YA MSANII; ILIYOFANYIKA MLIMANI CITY


Siku ya jana ilikuwa ni siku ya Msanii,na tukio zima lilifanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na wadau kibao, na mgeni rasmi alikuwa makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal.




Siku Ya Msanii iliwakutanisha wabunifu mbalimbali na baadhi ya mamiss na kufanya siku uwe poa zaidi, na kwa upande wa burudani ilipambwa na Yamoto Ban, Diamond Platnumz nk. Na show iliongozwa na Miss namba mbili 2006, Jokate Mwegelo aka Kidoti.

No comments:

Post a Comment