Monday, October 27, 2014

NUH MZIWANDA AONGEZA TATTOO YENYE PICHA YA SHILOLE

shilole na nuh mziwandaNuh Mziwanda ameongeza tattoo nyingine kwenye mkono wake yenye picha ya Shilole, mwanamziki huyu ambae ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamziki wakike Shilole alionyesha mchoro huo kwenye kipindi kimoja cha tv siku ya ijumaa.















No comments:

Post a Comment