Mwanamuziki wa R& B Kimarekani, Kimberly Michelle Pate aka K Michelle amezua kizazaa kwa kivazi chake kwenye tuzo za MOBO zilizofanyika nchini Uingereza.Mwanamuziki huyo alivaa nguo yenye kuonesha asset yake inayomvutia kila mtu na kupelekea wadau waliohudhuria kwenye tuzo hizo kumtolea macho kila apitapo, chike picha hapa.



No comments:
Post a Comment