Tuesday, October 21, 2014

BAAKUBWA MAGAZINE WANAKULETEA "PARTY WITH BAABKUBWA"

Jarida linaloongoza Bongo kwa mastori ya kufa mtu 'Baabkubwa Magazine' kwa kushirikiana na kampuni ya Drimz wanakuletea bonge moja la party known as 'Party with Baabkubwa' ambalo litahudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo.


Mbali na mastaa kutakuwa na mashindano ya wasanii wanaoimba na kuchana wanaosoma vyuo vikuu na mshindi atapata Big deal na kwa madada na makaka ataetoklezea na swagga za ukweli atapata gift bomba from Street Soul.
Mtonyo wa mlangoni ni sh 10,000 na watu 50 wa mwanzo watapata zawadi.
Ukumbi ni club Sun Cirro, Sinza, tarehe 1/ 11/ 2014 siku ya Jumamosi, njoo u-dance mpaka udondoke.

No comments:

Post a Comment