Ni siku chache zimepita tangu tamasha la Serengeti
Fiesta lifanyike, ambapo tulishuhudia baadhi ya wasanii wa hapa Bongo
wakipata nafasi ya kushare stage na wasanii wakubwa wa Afrika kama
Davido na Waje huku kutoka Marekani alikua ni msanii T.I.
Ni ukweli usiofichika kua Fiesta ya mwaka huu imekua gumzo kubwa hasa baada ya kutokea mzozani kuhusu nani mkali zaidi kati ya Ali Kiba. Japo kulikua hamna ushindani lakini mashabiki wa wasanii hawa wawili wamekua katika marumbano makali kuhusu alimfunika mwenzake.
Source: Millard Ayo.
No comments:
Post a Comment