Friday, September 12, 2014

‘BONGO MUVI UNITY’ BADO TUNA UMOJA


“Sisi Bongo muvi tuna umoja sana kwa kila jambo liwe la raha au la huzuni huwa tunashirikiana, hiko hutufanya tuwe makini katika kazi na kujituma na kupeana connection katika kazi.
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu so sisi tumeweza kuwa kitu kimoja katika kazi na maisha ya kwaida na tunazidi kusonga mbele kila siku na soon tu tutafika Hollywood.” Alisema Shamsa Ford

No comments:

Post a Comment